Je ungeamua kufanya nini? - kwa waliooa na walioolewa tu.

Je ungeamua kufanya nini? - kwa waliooa na walioolewa tu.

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2008
Posts
1,246
Reaction score
402
Ingekuwa inawezekana kurudisha nyuma miaka na ukaweza kurudi mpaka muda kabla hujaoa ama kuolewa; Je ungeoa/ungeolewa? na kama ungeoa/ungeolewa, je ungekubali kuoa ama kuolewa na mwenzi wako uliye naye sasa?
 
Back
Top Bottom