Jibaba Bonge
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,246
- 402
Ingekuwa inawezekana kurudisha nyuma miaka na ukaweza kurudi mpaka muda kabla hujaoa ama kuolewa; Je ungeoa/ungeolewa? na kama ungeoa/ungeolewa, je ungekubali kuoa ama kuolewa na mwenzi wako uliye naye sasa?