Je, ungeanza na nani?

Je, ungeanza na nani?

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
70,785
Reaction score
186,690
Habari wadau,

Hebu tutafakari hivi hali itakuwaje ghafla tukipewa uwezo wa kuwafanyia wapenzi factory reset / system restore ya akili na hisia zao ili ziwe kama pale yalipoanza mapenzi.

Je, wewe ungekimbilia kum restore mpenzi wako gani?
 
Ningemtafuta Introvert[emoji38] [emoji85]
 
Ujamaa atakuwa na njaa ajala uyu na jpili hii duuh

Maana kama huna njaa uwezi kuwaza haya yote
 
Bi Faiza... Yani fasta namhamishia na kanisa la walokole... Anene kwa lugha
 
Back
Top Bottom