Je, ungeniona live mimi Holoholo ungenipa zawadi gani?

holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
1,859
Reaction score
2,986
Wakuu
Hakuna hata mmoja asiyemjua holoholo humu jukwaani. Kila mmoja wenu anajua kuwa mimi ni nani, nafanya nini na uhalisia wangu ukoje ijapokuwa hamjawahi kuniona hata mmoja wenu.

Wengi mnanisoma katika majukwaa ya habari na hoja mchanganyiko, michezo na mala nyingi ni jukwaa hili la MMU, nimetambulika zaidi na uzi wangu wa 'Nakuchukia baba yangu' ila jambo la kusikitisha ni kuwa kila nikianzisha uzi wanasema chai huku wakiambatanisha na mtu anaekunywa chai.

Nahitaji kujua kutoka kwako wewe unaesoma uzi huu,ningekutana nawe live ungeniambia nini, ungenishauri nini au zawadi gani ungenipa?

Nasoma comments
cc😡nomadix Binti Sayuni03
 
Mimi binafsi ningekushauri usichukue wananume,pili jichanganyena wanaume,tatu kumwamini mwanamke wa JF nikuegemea mlango wa jela,3sijui kama wewe ni me au Ke kama ni Ke ningekuomba kwa kipindi cha miezi mitatu tuwe na marafiki ili niweze kukubadilisha mtizamo!
 
mimi ni dume la mbegu mkuu.
 
mimi ni dume la mbegu mkuu.
 
Bikini moja matata
 
Una halicunate na ku-daydream parasocial shit na cheap popularity. Either utakuwa na tabia za kitoto au una umri mdogo. Don't waste your time. Touch grass.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…