holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Wakuu
Hakuna hata mmoja asiyemjua holoholo humu jukwaani. Kila mmoja wenu anajua kuwa mimi ni nani, nafanya nini na uhalisia wangu ukoje ijapokuwa hamjawahi kuniona hata mmoja wenu.
Wengi mnanisoma katika majukwaa ya habari na hoja mchanganyiko, michezo na mala nyingi ni jukwaa hili la MMU, nimetambulika zaidi na uzi wangu wa 'Nakuchukia baba yangu' ila jambo la kusikitisha ni kuwa kila nikianzisha uzi wanasema chai huku wakiambatanisha na mtu anaekunywa chai.
Nahitaji kujua kutoka kwako wewe unaesoma uzi huu,ningekutana nawe live ungeniambia nini, ungenishauri nini au zawadi gani ungenipa?
Nasoma comments
cc😡nomadix Binti Sayuni03