JE UNGEPATA FURSA HII???

JE UNGEPATA FURSA HII???

mourisous

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2016
Posts
443
Reaction score
269
Habari zenu vigoli na vimpira??

Je UNGEPATA fursa ya kuwa jinsi tofauti na sasa ungefanya nini tofauti na waliopo sasa na kipi usingekifanya wanachofanya Jinsi ya sasa?






Pengine mawazo haya ndio yalijuwa yanawasukuwa wakina Michael Jackson kubadili jinsi [emoji10]
 
ungetumia neno lingine tofauti na hili kimpira
Nimekaa nikafikiri kama wao vigori walio baki si ndo watakuwa vimpira??

Maanda waliosalia ndo huwa wafungaji MKUU.

Pengine neno mbadala unapendekeza lipi??
 
Back
Top Bottom