mourisous
JF-Expert Member
- Jan 19, 2016
- 443
- 269
Habari zenu vigoli na vimpira??
Je UNGEPATA fursa ya kuwa jinsi tofauti na sasa ungefanya nini tofauti na waliopo sasa na kipi usingekifanya wanachofanya Jinsi ya sasa?
Pengine mawazo haya ndio yalijuwa yanawasukuwa wakina Michael Jackson kubadili jinsi [emoji10]