ungetumia neno lingine tofauti na hili kimpiraVipi MKUU hujaelewa ???
Bibi na BwanaNimekaa nikafikiri kama wao vigori walio baki si ndo watakuwa vimpira??
Maanda waliosalia ndo huwa wafungaji MKUU.
Pengine neno mbadala unapendekeza lipi??
haina tabu as long as hujamaanisha wale bibi kweliVijana wakike nao ni halali kuwaita mabibi?