mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
71Je ni miaka 30, 50, 70, 100, 120 au miaka yote?
Kwanini?
Haahaa kwann 71 tu mkuu?
Kukatwa mapangaSina haraka ya kufa mapema, ingawa ninajua skumoja nitakufa na ndipo itakua mwisho wa umri wangu wa kuishi duniani.
Swali pekee linalo niumiza kichwa ni je'nitakufaje??
Sina haraka ya kufa mapema, ingawa ninajua skumoja nitakufa na ndipo itakua mwisho wa umri wangu wa kuishi duniani.
Swali pekee linalo niumiza kichwa ni je'nitakufaje??
Kukatwa mapanga
Ngoja uchomwe na mbigili tuone unavyochechemea huku unalia kwa kwikwi.😂Immortal
Mimi ningependa kuishi miaka mingi na heri duniani ndugu mwandishi.Na nife kwa upole kitandani bila kuanza kubebwa,kujiliza kama mtoto,kudeka,kujishindwa na kuwa mkorofi.Je, ni miaka 30, 50, 70, 100, 120 au miaka yote?
Kwanini?
Naona nikifika 70 nitakuwa nimetimiza utume wangu.Haahaa kwann 71 tu mkuu?
Ututese kujinyea nyea,mimi natamani nifike miaka 120, ile miaka ya ahadi ya Mungu. Nitakuwa nimefanya mengi ya kufundisha wajukuu na vitukuu yawapasayo kutenda ili kumpendeza Mungu
ahahahahaha nimecheka kama mazuri, wateule wa Mungu tutalala kimya kimya hakuna mateso kwaoUtutese kujinyea nyea,
Mbinguni kuna bata la kwenda, usichelewe utakuta watu washawahi vizur vizuri
Chelewa chelewa ukae chini,ahahahahaha nimecheka kama mazuri, wateule wa Mungu tutalala kimya kimya hakuna mateso kwao
na mbinguni makao ni makubwa na mazuri hakuna kuchelewa wala kuwahi