Je, ungependa uishi miaka mingapi hapa duniani?

Dunia tamu jamani, japo maisha ni magumu ila uhai mtamu.

Kwa mimi ningependa kuishi miaka mingi mpaka niikinai dunia
 
70 had 80, hapo nitamshukuru Muumba ni talala kwa amani.
Yani Muumba kasema miaka 70 ww unataka uish miaka mia uanze kujinyea nyea tu
 
mimi natamani nifike miaka 120, ile miaka ya ahadi ya Mungu. Nitakuwa nimefanya mengi ya kufundisha wajukuu na vitukuu yawapasayo kutenda ili kumpendeza Mungu
 
Ututese kujinyea nyea,
Mbinguni kuna bata la kwenda, usichelewe utakuta watu washawahi vizur vizuri
 
ahahahahaha nimecheka kama mazuri, wateule wa Mungu tutalala kimya kimya hakuna mateso kwao
na mbinguni makao ni makubwa na mazuri hakuna kuchelewa wala kuwahi
 
Chelewa chelewa ukae chini,
Shauri yako usiseme hatujakwambia ,mm naenda zangu mapema kuwahi viwanja na kula bata la bwana yesu aliloliandaa
 
Back
Top Bottom