aisee unaachaje raha ya hapa duniani? kula kula mkuu kwanza ukienda uwe umeshamaliza ya hapaChelewa chelewa ukae chini,
Shauri yako usiseme hatujakwambia ,mm naenda zangu mapema kuwahi viwanja na kula bata la bwana yesu aliloliandaa
Hapa ipigwe bomu la hamasi ,aisee unaachaje raha ya hapa duniani? kula kula mkuu kwanza ukienda uwe umeshamaliza ya hapa
Nimeipenda hii99 nione vitukuu na CCM ikiwa chama cha upinzani hoe hae...
HaahaaaHapa ipigwe bomu la hamasi ,
Tozo kama zote
Mafuta bei juu
Bado baby kakupiga vizinga na hakupendi.
Sasa si bora tukale bata na mwanangu sana nuhu , na yule petro bila kumsahau kivuruge yakobo
usiweke mazingira ya kupigwa vizinga mkuu, wakati mwingine unaviruhusu mwenyewe bila wewe kujua,,,hahahha et bado hakupendi, unaishije na mtu hakupendi? kama analeta maigizo wewe uwe sterlingHapa ipigwe bomu la hamasi ,
Tozo kama zote
Mafuta bei juu
Bado baby kakupiga vizinga na hakupendi.
Sasa si bora tukale bata na mwanangu sana nuhu , na yule petro bila kumsahau kivuruge yakobo