Je, ungependa uishi miaka mingapi hapa duniani?

Je, ungependa uishi miaka mingapi hapa duniani?

Chelewa chelewa ukae chini,
Shauri yako usiseme hatujakwambia ,mm naenda zangu mapema kuwahi viwanja na kula bata la bwana yesu aliloliandaa
aisee unaachaje raha ya hapa duniani? kula kula mkuu kwanza ukienda uwe umeshamaliza ya hapa
 
aisee unaachaje raha ya hapa duniani? kula kula mkuu kwanza ukienda uwe umeshamaliza ya hapa
Hapa ipigwe bomu la hamasi ,
Tozo kama zote
Mafuta bei juu
Bado baby kakupiga vizinga na hakupendi.
Sasa si bora tukale bata na mwanangu sana nuhu , na yule petro bila kumsahau kivuruge yakobo
 
Hapa ipigwe bomu la hamasi ,
Tozo kama zote
Mafuta bei juu
Bado baby kakupiga vizinga na hakupendi.
Sasa si bora tukale bata na mwanangu sana nuhu , na yule petro bila kumsahau kivuruge yakobo
Haahaaa
 
Hapa ipigwe bomu la hamasi ,
Tozo kama zote
Mafuta bei juu
Bado baby kakupiga vizinga na hakupendi.
Sasa si bora tukale bata na mwanangu sana nuhu , na yule petro bila kumsahau kivuruge yakobo
usiweke mazingira ya kupigwa vizinga mkuu, wakati mwingine unaviruhusu mwenyewe bila wewe kujua,,,hahahha et bado hakupendi, unaishije na mtu hakupendi? kama analeta maigizo wewe uwe sterling
 
Mungu akinifanya Mtakatifu kiasi kwamba nikifa nitaenda kwenye Raha ya Milele,kukaa naye anichukue umri wo wote anaotaka!
 
Back
Top Bottom