ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 556
Wadau wa jf, habarini zenu. Kama mjuavyo ndugu zetu wa zanzibar wapo kwenye harakati za kudai kiitwacho nchi ya zanzibar. Maana ya dhana hii ni kwamba wakifanikiwa,tanganyika (tanzania bara) kwa sasa inaonekana haina mtetezi.wanasiasa wengi wa bara hawataki kuzungumzia muugano. Sasa je watanganyika wangapi mpo tayari kudai tanganyika yetu? Naombeni mawazo yenu! God bless tanganyika.