Je ungetamani Noah yako iwe ya rangi gani

ibesa mau

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2015
Posts
2,109
Reaction score
1,697
Nadhani kila mtanzania ana matumaini ya kumiliki Noah. Mimi Noah yangu nilitamani sana siku nitakapo pewa iwe ya rangi ya silva halafu nyuma niandije maandishi long live jpm.

Je wewe ungependa Noah yako iweje kwani muda si mrefu neema inakuja Tanzania. Get prepared
 
Mkuu mimi nikiipata naipiga bei ili nipate mtaji wa kilimo kwa hiyo suala la rangi sio ishu kwangu
 
Mimi nikiipata nitaiuza niongezee na kahela kangu nikanunue tractor likanisaidie wakati wa kulima huko kijijini kwetu.
 
Labda kila mtanzania wa aina yako
Watanzania wanaojielewa wako busy wanafanya kazi wakiwa na tamaa ya mafanikio endelevu
 
Nadhani kila mtanzania ana matumaini ya kumiliki Noah. Mimi Noah yangu nilitamani sana siku nitakapo pewa iwe ya rangi ya silva halafu nyuma niandije maandishi long live jpm.

Je wewe ungependa Noah yako iweje kwani muda si mrefu neema inakuja Tanzania. Get prepared

Kweli,,,Bangi sio Haramu,,ila hawa ndio wanaifanya iwe haramu[emoji1321]
 
Noah imeota mbawa imekuwa helkopta
..................... na hali yako!!! (Nilicheka sana hii kitu Jana)
 
Nataka yangu iwe convertible

Sent from my TV
 
Back
Top Bottom