Je! Unywaji wa bia ya Safari lager hupunguza nguvu za kiume ?

karugila

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
1,275
Reaction score
685
Wana - jamiiforums kuna tetesi kwamba bia haina ya safari lager inapunguza nguvu za kiume.Rafiki yangu amekuwa akitumia kwa muda sasa.

Ananieleza kuwa uume wake umelegea sana.Akiwa na mpenzi wake wakibahatika ni round moja kajamaa kanafubaa. Je, kuna mti ana uzoefu kama huo?
 
Mmmh hiyo nayo mpya.hivi mbona siku hizi mnasema kila kitu kinapunguza nguvu za kiume.sasa mtasema hata kulala kunapunguza nguvu za kiume.Fanya mazoez na jiandae kisaikolojia kwa hilo tendo hali ya namna hiyo hautaiona
 
Wana - jamiiforums kuna tetesi kwamba bia haina ya safari lager inapunguza nguvu za kiume.Rafiki yangu amekuwa akitumia kwa muda sasa.

Ananieleza kuwa uume wake umelegea sana.Akiwa na mpenzi wake wakibahatika ni round moja kajamaa kanafubaa. Je, kuna mti ana uzoefu kama huo?

Ni aina siyo haina. Hicho ni kiswahili gani?
Hata hivyo mwambie ahamie kwenye Banana lager huko mambo mazuri
 
Hakuna ukweli wowote! Mi nagonga safari miaka yote na game linapigwa kama kawa!
 
Ki msingi pombe zote hupunguza nguvu za kiume.
Huongeza ashki tu.
kama una shiriki tendo ukiwa umetumia kilevi,
itafika wakati bila kilevi huwezi shiriki tendo.
 
Wana - jamiiforums kuna tetesi kwamba bia haina ya safari lager inapunguza nguvu za kiume.Rafiki yangu amekuwa akitumia kwa muda sasa.

Ananieleza kuwa uume wake umelegea sana.Akiwa na mpenzi wake wakibahatika ni round moja kajamaa kanafubaa. Je, kuna mti ana uzoefu kama huo?

Mwambie aache kuwa na tabia za timu pinzani then atakuwa ok
 
Wana - jamiiforums kuna tetesi kwamba bia haina ya safari lager inapunguza nguvu za kiume.Rafiki yangu amekuwa akitumia kwa muda sasa.

Ananieleza kuwa uume wake umelegea sana.Akiwa na mpenzi wake wakibahatika ni round moja kajamaa kanafubaa. Je, kuna mti ana uzoefu kama huo?

Watz wengi hawafanyi mazoezi walevi ndo kabisaaaaaaa sasa unategemea nini
 
Duuh mkuu na wewe una kulaga bia ngumu hivi!

Aisee hii bia ndo naona iko poa kuliko zingine zote! Bia ya zamani kitambo sana zingine zimekuja juzi kati kizazi kipya dot com nikinywa hazinikolei mpaka nichanganye na konyagi!
 
Tumia Guinness ndio bia bora kabisa.
 
Daaaa!
Ujue unywaji wa pombe yeyote bila chakula kuna matokeo mengi hasi mojawapo ni hilo la upungufu wa nguvu za mwili sasa uume nao ni part and percel ya mwili mkuu. Kwahiyo hizi pombe mnazokunywa bila lishe mjihadhari nazo msisingizie safari wala tursker.

Kwanza unaharibu biashara yetu inayotupa kodi kubwa hapa tanzania.

Walevi mimi huwa mnanipa raha sana mnakunywa mapombe yenu alafu mnakula nyama zenu zilizokaushwa kama kuni huku mkijifariji ooooh tumekula nyama choma. Wiki nzima ndio mlo wako huo hizo nguvu utazipatia wapi hata za kunyanyua hiyo glas ya bia baa utakosa achili mbali za kusimamisha issue.

Jamani wito kwa wanaume mle chakula bora na chenye kuwapa nguvu na madini joto mwilini. Au utakuta mwingine mchana jua kali anakula chips ili arudi kazini. Haya mtasaidiwa mpaka mkome
 
Back
Top Bottom