Je upo kundi lipi kati ya haya

Je upo kundi lipi kati ya haya

Nzuri sana,unaeza fuata hv:
1.kuajiriwa
2.kuajiriwa + biashara yako
3.mkopo wa kukuza biashara yako + kuajiriwa
4.kuacha kaz, kutanua biashara yako na kufungua miradi mingine
 
Don't fall in love with what you are doing instead fall in love with the game of making money
 
Mi kundi la 1 lakini nahitaji kundi la tatu. Nafanyaje?
 
Back
Top Bottom