Je, upo tayari kujua tarehe yako ya kifo? AI death calculator inalo jibu

Bora usijue aise.
Kuna memba aliitwa Mpauko alileta thread ya kuonesha kuwa miezi mitatu baadaye angefariki kwa mujibu wa maelezo ya daktari wake. Ile thread ilituumiza sana maana hakuonekana tena.
Kujua kuna uzuri wake hususani katika kupangilia mambo yako muhimu.
 
Hello Good afternoon all,

Elina Tarkazikis anasema Artificial Intelligence (AI) inaweza kukupa majibu mengi mno hata yale usiyoyahitaji au kuyapenda. Anasema Artificial Intelligence Calculator inaweza kukwambia ni lini utakufa na akaongeza kuwa "it is deadly accurate..."🤗

Katika andiko lake hilo lililochapishwa na mtandao wa Scripps News anasema kifaa kinachoitwa Life2vec au AI death calculator kinaweza kubashiri muda wako wa kuishi hii ni kutokana na utafiti uliofanywa kwa watu milioni 6 huko nchini Denmark tangu mwaka 2008.

Sune Lehmann mtafiti kiongozi anasema kuwa utafiti huo hutumia teknolojia ya ChatGPT kuchumbua maisha ya mtu kwa kuzingatia mtiririko wa matukio mbali mbali yanayotokea kwenye maisha yake. Hivyo basi watafiti hao kati ya mwaka 2008 na 2016 walifanya uchambuzi kwa kuzingatia mitindo mbali mbali ya maisha ya watu ndipo wakaja na hitimisho mwaka 2020 kwa kutumia kanuni ya algorithm kufahamu ni nani alifariki na Life2ve model ilitoa majibu yaliyokuwa sahihi kwa 78%, pungufu ya 22% iwe 100% accurate. 🙋

Mpaka sasa, Life2vec imefanyiwa majaribio kati ya watu wenye umri wa miaka 35 na 65 nchini Denmark na nusu ya watu hao walifariki kwa namna kifaa hicho kilivyo bashiri.

Elina Tarkazikis anasema Life2vec is not yet available to the public. Je kifaa hicho kikiwa tayari kwa matumizi na kikaruhusiwa kutumika, Je utakitumia kujua ni lini utakufa??
Hata bure situmii fikiria kikabashili utakufa kesho itakuwaje yaanze mawazo tena bora nisijue kabisaa
 
Hiyo AI iboreshwe iwe na uwezo pia wa kutuambiwa kama ukisali kwa
Mwamposa ukanunua maji na kutoa sadaka kwa njia ya mtandao wake upata ticket ya kuingia peponi
 
Hello Good afternoon all,

Elina Tarkazikis anasema Artificial Intelligence (AI) inaweza kukupa majibu mengi mno hata yale usiyoyahitaji au kuyapenda. Anasema Artificial Intelligence Calculator inaweza kukwambia ni lini utakufa na akaongeza kuwa "it is deadly accurate..."🤗

Katika andiko lake hilo lililochapishwa na mtandao wa Scripps News anasema kifaa kinachoitwa Life2vec au AI death calculator kinaweza kubashiri muda wako wa kuishi hii ni kutokana na utafiti uliofanywa kwa watu milioni 6 huko nchini Denmark tangu mwaka 2008.

Sune Lehmann mtafiti kiongozi anasema kuwa utafiti huo hutumia teknolojia ya ChatGPT kuchumbua maisha ya mtu kwa kuzingatia mtiririko wa matukio mbali mbali yanayotokea kwenye maisha yake. Hivyo basi watafiti hao kati ya mwaka 2008 na 2016 walifanya uchambuzi kwa kuzingatia mitindo mbali mbali ya maisha ya watu ndipo wakaja na hitimisho mwaka 2020 kwa kutumia kanuni ya algorithm kufahamu ni nani alifariki na Life2ve model ilitoa majibu yaliyokuwa sahihi kwa 78%, pungufu ya 22% iwe 100% accurate. 🙋

Mpaka sasa, Life2vec imefanyiwa majaribio kati ya watu wenye umri wa miaka 35 na 65 nchini Denmark na nusu ya watu hao walifariki kwa namna kifaa hicho kilivyo bashiri.

Elina Tarkazikis anasema Life2vec is not yet available to the public. Je kifaa hicho kikiwa tayari kwa matumizi na kikaruhusiwa kutumika, Je utakitumia kujua ni lini utakufa??

Kwa wale wanaofuata mafundisho ya dini wanajua kabisa kuwa
Moja ya vitu Mungu hakutaka Kabisa Binadam wavifahamu ni siku ya Kufa.
 
Inatisha sana japo hata sasa ukitaka kujua umebakiza miaka mingapi ya kuishi inawezekana...

Ni wewe tu kuhitaji kujua.!
 
Hata bure situmii fikiria kikabashili utakufa kesho itakuwaje yaanze mawazo tena bora nisijue kabisaa
Mi mwenyewe siwez kukubali kukitumia. Kifo cha kutarajia kinatesa sn ndio maana wengine wakiambiwa wana ukimwi wanakufa siku sio zao.
 
Anajua mtu atakufa lini ni Mungu pekee yake si vinginevyo, hicho kifaa limebuniwa majini na maproo. Ukitoa tu detail zako wanaoingiza kwenye ulimwengu wa kishetani unaanza kupata matatizo
 
Haijaweza kubashiri kuwa Mtu akifa anakwenda wapi?🤣
 
Mmh teknolojia ni jitu la kuogofya sana wakati mwingine.
 
Hicho kifaa kitajuaje kama mtu atakufa kesho kwa ajali ya Bodaboda?

Calculation zinaweza kufanyika kwa wagonjwa tu hasa wagonjwa wa Cancer coz inapigwa hesabu jinsi ugonjwa huo unavyo sambaa mwilini.
 
Soma bandiko vizuri uelewe jibu lako lipo hapo.
 
Bora usijue aise.
Kuna memba aliitwa Mpauko alileta thread ya kuonesha kuwa miezi mitatu baadaye angefariki kwa mujibu wa maelezo ya daktari wake. Ile thread ilituumiza sana maana hakuonekana tena.
Mimi bila hata mujibu wa daktari siku nikijisikia kufariki lazima nitaaga humu ,sio kila mtu hajui atakufa lini.
 
Back
Top Bottom