Kujua kuna uzuri wake hususani katika kupangilia mambo yako muhimu.Bora usijue aise.
Kuna memba aliitwa Mpauko alileta thread ya kuonesha kuwa miezi mitatu baadaye angefariki kwa mujibu wa maelezo ya daktari wake. Ile thread ilituumiza sana maana hakuonekana tena.
Hata bure situmii fikiria kikabashili utakufa kesho itakuwaje yaanze mawazo tena bora nisijue kabisaaHello Good afternoon all,
Elina Tarkazikis anasema Artificial Intelligence (AI) inaweza kukupa majibu mengi mno hata yale usiyoyahitaji au kuyapenda. Anasema Artificial Intelligence Calculator inaweza kukwambia ni lini utakufa na akaongeza kuwa "it is deadly accurate..."🤗
Katika andiko lake hilo lililochapishwa na mtandao wa Scripps News anasema kifaa kinachoitwa Life2vec au AI death calculator kinaweza kubashiri muda wako wa kuishi hii ni kutokana na utafiti uliofanywa kwa watu milioni 6 huko nchini Denmark tangu mwaka 2008.
Sune Lehmann mtafiti kiongozi anasema kuwa utafiti huo hutumia teknolojia ya ChatGPT kuchumbua maisha ya mtu kwa kuzingatia mtiririko wa matukio mbali mbali yanayotokea kwenye maisha yake. Hivyo basi watafiti hao kati ya mwaka 2008 na 2016 walifanya uchambuzi kwa kuzingatia mitindo mbali mbali ya maisha ya watu ndipo wakaja na hitimisho mwaka 2020 kwa kutumia kanuni ya algorithm kufahamu ni nani alifariki na Life2ve model ilitoa majibu yaliyokuwa sahihi kwa 78%, pungufu ya 22% iwe 100% accurate. 🙋
Mpaka sasa, Life2vec imefanyiwa majaribio kati ya watu wenye umri wa miaka 35 na 65 nchini Denmark na nusu ya watu hao walifariki kwa namna kifaa hicho kilivyo bashiri.
Elina Tarkazikis anasema Life2vec is not yet available to the public. Je kifaa hicho kikiwa tayari kwa matumizi na kikaruhusiwa kutumika, Je utakitumia kujua ni lini utakufa??
Hiyo AI iboreshwe iwe na uwezo pia wa kutuambiwa kama ukisali kwaHello Good afternoon all,

Hello Good afternoon all,

😇Hiyo AI iboreshwe iwe na uwezo pia wa kutuambiwa kama ukisali kwa
Mwamposa ukanunua maji na kutoa sadaka kwa njia ya mtandao wake upata ticket ya kuingia peponi
Mi mwenyewe siwez kukubali kukitumia. Kifo cha kutarajia kinatesa sn ndio maana wengine wakiambiwa wana ukimwi wanakufa siku sio zao.Hata bure situmii fikiria kikabashili utakufa kesho itakuwaje yaanze mawazo tena bora nisijue kabisaa
Hapo ni ngumuHaijaweza kubashiri kuwa Mtu akifa anakwenda wapi?🤣
Sawa meneja lakin ndipo tulipoHakuna mwenye uwezo wa kutambua hilo wala usihangaike.
How research imefanyika 😃Huo nao ni utapeli mwingine
Soma bandiko vizuri uelewe jibu lako lipo hapo.Hicho kifaa kitajuaje kama mtu atakufa kesho kwa ajali ya Bodaboda?
Calculation zinaweza kufanyika kwa wagonjwa tu hasa wagonjwa wa Cancer coz inapigwa hesabu jinsi ugonjwa huo unavyo sambaa mwilini.
Mimi bila hata mujibu wa daktari siku nikijisikia kufariki lazima nitaaga humu ,sio kila mtu hajui atakufa lini.Bora usijue aise.