Wandugu kama kuna mtu au watu wana uzoefu na biashara ya kusafirisha mizigo (malori).
wnahitajika kuingia mkataba maalumu kwaajili ya kusimamia biashara hii kwa mkataba maalum.
Unachotakiwa kufanya ni kuwa na uelewa wa biashara hiyo na pili kuwa na mtaji kido kwa ajili ya marekebisho ya gari kisha kulifanyia kazi kwa kutafuta mizigo na kuweka dereva wako halafu kumlipa mwenye gari kiasi mtakachokubaliana kwa mwezi.