Je upo tayari kusimamia biashara ya usafirishaji mizgo

Je upo tayari kusimamia biashara ya usafirishaji mizgo

Enny

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
962
Reaction score
130
Wandugu kama kuna mtu au watu wana uzoefu na biashara ya kusafirisha mizigo (malori).
wnahitajika kuingia mkataba maalumu kwaajili ya kusimamia biashara hii kwa mkataba maalum.

pm au wasiliana 0754353252
 
Mkuu nieleze vyema ili nihamasike. Biashara hiyo ninatakiwa niwe na magari yangu au ni maroli yao?
 
Mkuu nieleze vyema ili nihamasike. Biashara hiyo ninatakiwa niwe na magari yangu au ni maroli yao?

Unachotakiwa kufanya ni kuwa na uelewa wa biashara hiyo na pili kuwa na mtaji kido kwa ajili ya marekebisho ya gari kisha kulifanyia kazi kwa kutafuta mizigo na kuweka dereva wako halafu kumlipa mwenye gari kiasi mtakachokubaliana kwa mwezi.
 
Back
Top Bottom