Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hajuagi mpira uyoHuyu jamaa ni overrated. Binafsi sijawahi kumuelewa Thomas Ulimwengu na aina yake ya uchezaji. Miaka nenda rudi, Ulimwengu ana uhakika wa kuitwa na kucheza timu ya Taifa ya Tanzania.
Je ni kipi haswa kinambeba Ulimwengu timu ya Taifa? Je urafiki wake wa karibu na Nahodha Mbwana Samatta ndio kinachombeba kuendelea kuwepo Taifa Stars?
Js SouraAnacheza timu gani ya kulipwa?
Nimeshangaa kuwepo kwake kwenye kikosi cha wachezaji 23Kiwango gan mkuu anatumia Minguvu bila Akili?
Last game yake alicheza faulo kuliko team yake nzima
Lukaku kacheza Chelsea, Man Utd je anajua mpira?timu alizocheza thomas ulimwengu huwezi kusajiliwa kama hujui mpira..
thomas toka utotoni hajawai cheza ligi za viporo mechi 10...
na hajawai lipwa mishahara mbuzi... hiyo tu inamaanisha mpira anaujua..
pale taifa starz nzima.. aliemzidi thomas ulimwengu CV ni mbwana samatta tu.. kama kuna mwingine mtaje? weka na facts ya cv yake
Lukaku kacheza Chelsea, Man Utd je anajua mpira?
Duuu wabongo shikamoo kwahyo unataka kumfananisha na Boko au Makambo?Lukaku kacheza Chelsea, Man Utd je anajua mpira?
Kinachonishangazaga mpaka no anapewa!....Nimeshangaa kuwepo kwake kwenye kikosi cha wachezaji 23
Huyu hajaachwa , yupoNimeshangaa kuachwa Adi yussuph
Huyu tuliye nae si kocha
Lukaku kacheza Chelsea, Man Utd je anajua mpira?