3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Romelu LukakuMfungaji Bora wa timu ya taifa ya Belgium ni Nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Romelu LukakuMfungaji Bora wa timu ya taifa ya Belgium ni Nani?
Kweli.. Bocco ukiondoa mechi 2/3 za mwisho alizopaform ni mchezaji aliyekuwa amekata tamaa na timu ya taifa..Ulimwengu ana exposurè kubwa kuliko hata Bocco ambae anacheza mechi za viporo
At least wewe unatusaulisha kama tumepigwa goli.Ni ndugu wa Dunia
Game ya leo na Kenya alikuwa hata asimalize dk 35Huyu jamaa ni overrated. Binafsi sijawahi kumuelewa Thomas Ulimwengu na aina yake ya uchezaji. Miaka nenda rudi, Ulimwengu ana uhakika wa kuitwa na kucheza timu ya Taifa ya Tanzania.
Je ni kipi haswa kinambeba Ulimwengu timu ya Taifa? Je urafiki wake wa karibu na Nahodha Mbwana Samatta ndio kinachombeba kuendelea kuwepo Taifa Stars?