Je, Urafiki wake na Samatta ndio unambeba Thomas Ulimwengu?

Je, Urafiki wake na Samatta ndio unambeba Thomas Ulimwengu?

Huyu jamaa ni overrated. Binafsi sijawahi kumuelewa Thomas Ulimwengu na aina yake ya uchezaji. Miaka nenda rudi, Ulimwengu ana uhakika wa kuitwa na kucheza timu ya Taifa ya Tanzania.

Je ni kipi haswa kinambeba Ulimwengu timu ya Taifa? Je urafiki wake wa karibu na Nahodha Mbwana Samatta ndio kinachombeba kuendelea kuwepo Taifa Stars?
Game ya leo na Kenya alikuwa hata asimalize dk 35
 
Back
Top Bottom