Je ushakutana na hii hali? inakuwa vipi kwako!

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Hii hali huwa inanishangaza sana na nashindwa niitatue vipi.. ushakutana na hali kwamba kila mahali watu wengi wanakuwa kinyume na wewe hata kama hujawahi kuwakosea!.. unaweza ukakuta labda ni mchezo ila ukakuta wewe haushabikiwi yaani popote iwe ugenini au nyumbani!.. na hali zinazofanana na hizo!

Ishawahi kukutokea? uliisolve vipi!
 
Kuendelea kuamini kile unachokiamini na kutoyumba, kwamfano hapo mchezoni vipi kama watu wanamshabikia mpinzani wako na ushindi ukaja kwako....

Hii hali huwa ni mbaya pale watu wanapokupuuza wakati ukitoa mawazo, ushauri au kuongea kitu chochote alafu watu wanaokuzunguka hawakuzingatii wanaona kila unachosema ni pumba
 
Mbaya zaidi zaidi hutumia mawazo yako bila kukushirikisha ha ha haaa
 
Hii fact Mkubwa wa Kazi!
 
Detach your self from people. Be you fanya yako, mind your own business trust me uta achieve vingi na utakutana na watu ambao wako interested na wewe you will gain your respect back ....anza na kubadili laini anza upya

Nb:watakao kutafuta sana wanakujali,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbaya zaidi zaidi hutumia mawazo yako bila kukushirikisha ha ha haaa
Hii ni afadhali mkuu maana mwisho wa siku ukijua hilo utafarijika kwakuona mawazo yako yana nguvu ila kuna ile watu hawataki ata kusikiliza unaongea nini, wanaona unawapotezea muda.. hahah
 
tatizo lako ni hili "you Do little things but you expect more"
 
Back
Top Bottom