Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Hii hali huwa inanishangaza sana na nashindwa niitatue vipi.. ushakutana na hali kwamba kila mahali watu wengi wanakuwa kinyume na wewe hata kama hujawahi kuwakosea!.. unaweza ukakuta labda ni mchezo ila ukakuta wewe haushabikiwi yaani popote iwe ugenini au nyumbani!.. na hali zinazofanana na hizo!
Ishawahi kukutokea? uliisolve vipi!
Ishawahi kukutokea? uliisolve vipi!