Mbaya zaidi zaidi hutumia mawazo yako bila kukushirikisha ha ha haaaKuendelea kuamini kile unachokiamini na kutoyumba, kwamfano hapo mchezoni vipi kama watu wanamshabikia mpinzani wako na ushindi ukaja kwako....
Hii hali huwa ni mbaya pale watu wanapokupuuza wakati ukitoa mawazo, ushauri au kuongea kitu chochote alafu watu wanaokuzunguka hawakuzingatii wanaona kila unachosema ni pumba
Hii fact Mkubwa wa Kazi!Kuendelea kuamini kile unachokiamini na kutoyumba, kwamfano hapo mchezoni vipi kama watu wanamshabikia mpinzani wako na ushindi ukaja kwako....
Hii hali huwa ni mbaya pale watu wanapokupuuza wakati ukitoa mawazo, ushauri au kuongea kitu chochote alafu watu wanaokuzunguka hawakuzingatii wanaona kila unachosema ni pumba
Hii ni afadhali mkuu maana mwisho wa siku ukijua hilo utafarijika kwakuona mawazo yako yana nguvu ila kuna ile watu hawataki ata kusikiliza unaongea nini, wanaona unawapotezea muda.. hahahMbaya zaidi zaidi hutumia mawazo yako bila kukushirikisha ha ha haaa
PamojaHii fact Mkubwa wa Kazi!