round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Nilimgusa afande wa kike makalio mpaka akapandisha mori.Habari,
Je ulishawahi kulala lock up au selo? Ulikuaje mpaka ukalala?
Karibuni wajumbe ili tuelimike
dah! wachache wataelewa uzito wa hii statement.Ukiingia lock up ndiyo unaona umuhimu wa kuwa huru kwenye maisha
šššHii ndo JF achana na chai we jifunze kitu kutoka kwenye hizo chaiNipo na Chapati hapa nasubiri ndugu zangu waje na CHAI kabambe..!
Nimekaa siti ya mbele kabisa... unakuta mtu hata kituo cha polisi hakijui ila skilizia sasa anavyoondoka na kijiji..
š ahh wakina Eric Shigongo wengi humu.. waandishi wazuri sana wa Makala za kufikirika..šššHii ndo JF achana na chai we jifunze kitu kutoka kwenye hizo chai
Alikuwa anafanya kazi kwa mtu boss ndio akamsweka ndaniYaani alitapeliwa halafu tena yeye yeye akalala lockup?
Imekaaje hiyo?
Chapati za kusukuma au kumimina?Nipo na Chapati hapa nasubiri ndugu zangu waje na CHAI kabambe..!
Nimekaa siti ya mbele kabisa... unakuta mtu hata kituo cha polisi hakijui ila skilizia sasa anavyoondoka na kijiji..
Hahaha eti mshahara mdogo?Nilipelekwa nikalipa 5000 pale Simu 2000 nikaachiwa kabla hata ya masaa mawili ashkuriwe Mungu kwa kuwapa polisi mshahara mdogo lasivyo tungeteseka sana.
Sasa wangekual wanahela si wangehongeka kwa mamilion kama TRAHahaha eti mshahara mdogo?
Hatari,Mazingira machafu..Nakumbuka kuna Father aliletwa Full kuhara..Misosi mingi ili letwa kama sio Ninja hugusiniliuziwa simu ya wizi,
ikafuatiliwa nikaja kukamatwa nilikaa siku 5.
pananukaa,jashooo,hamna hewa,mmejazana maji wanaoga wababe tu.hauwezi amini siku zote hizo sijaenda haja kubwa
Tatizo hujazoea kunya huku unatizamwa...ukawa unajibanaš¤£š¤£š¤£niliuziwa simu ya wizi,
ikafuatiliwa nikaja kukamatwa nilikaa siku 5.
pananukaa,jashooo,hamna hewa,mmejazana maji wanaoga wababe tu.hauwezi amini siku zote hizo sijaenda haja kubwa
Wewe itoshe tu kujua kwamba pale Lock up ndo mahali Polisi wanapowakomoaga raia. Kigezo ni ww tu uwe ni mtuhumiwa - utaingia.Habari,
Je ulishawahi kulala lock up au selo? Ulikuaje mpaka ukalala?
Karibuni wajumbe ili tuelimike
Ila cha ajabu wanakuwepo baadhi yao hao hao Polisi kituoni wana huruma na wanakupa connection namna ya kutoka - wenyewe wanaita kuchomoa.Ni ushauri wa bure kabisa.
Kabla hujapelekwa lockup hasa kwa makosa ya kawaida jaribu kumalizana nao mapema, lugha wanayoelewa ni pesa $$$, mara nyingi mnaweza malizana kwa kiasi kichozidi laki 1, jipinde unavyoweza wape hio pesa, ukifika kituoni kuna mnyororo mrefu na kiasi kinaongezeka
Hakikisha unapigia simu watu wako wa karibu hasa familia na ndugu, ukiingia kituoni ni ngumu kupata simu
Watu wengi huwa wanapuuzia haya kwa kudhani watatotoka asubuhi, kosa kubwa sana ! unaweza kukaa zaidi ya wiki hadi mwezi na wakikuchoka wanakutupia mahabusu waweza kaa miaka
hamna ,madale pale choo kipo kizuri tu.ila ni uchafu ndo tatizo maji hamna.mpaka mchote kwenye madumu nje ndo mpeleke ndani.Tatizo hujazoea kunya huku unatizamwa...ukawa unajibanaš¤£š¤£š¤£