Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Dambe ndio Miereka yenye asili ya Afrika magharibi, lakini hivi karibuni imekuwa maarufu zaidi kutokana na kuwapo kwa video mbalimbali kutoka katika mtandao wa Youtube.
Mchezo huo unahusisha wapiganaji ambao wanakuwa wamefunga kamba katika mikono yao huku wakijaribu kuwarushiana ngumi na mateke wapinzani wao. Pia, mieleka hiyo huwa ni mchezo wa wazi unaopigana mbele ya halaiki kubwa ya watu.
Tazama hapa chini moja ya iliyowekwa mtandaoni na kutazamwa na watu wengi.
Chanzo: BBC