Je ushawai kuwa kiongozi yoyote katika mazingira fulani

Je ushawai kuwa kiongozi yoyote katika mazingira fulani

Digging deeper

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
787
Reaction score
512
Habari wana jf je wewe mdau mwezangu ushawai kuwa kiongozi katika mazingira fulani iwe shuleni ,kazini au sehemu yoyote tupe experience yako,binafsi katika elimu ya sekondari nilikuwa kiongozi.
 
duu mkuu upo serious[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukukamatwa kweli

vituo vyote nimepita mpaka jela !.
we uliza vituo vinavyo fanana nitakueleza labda kiwe kipya dsm
 
Habari wana jf je wewe mdau mwezangu ushawai kuwa kiongozi katika mazingira fulani iwe shuleni ,kazini au sehemu yoyote tupe experience yako,binafsi katika elimu ya sekondari nilikuwa kiongozi.
Mimi ni kiongozi huru wa TLP ndani ya CCM
 
Back
Top Bottom