Je ushawai kuwa kiongozi yoyote katika mazingira fulani

Je ushawai kuwa kiongozi yoyote katika mazingira fulani

Mimi ni IGP kiukweli najua kubambikia watu kesii na hakuna wakunifanya kitu
 
Uzoefu kawaida tu nimenufaika kdg
Changamoto Ni skuli kuonekana una kiherehere yaani snitch
Inategemea mkuu. Nimewahi kuwa kiongozi katika mazingira tofauti.
Mara ya mwisho fomu ya uongozi wa juu kabisa(kwenye taasisi hiyo) nilijaziwa na wenzangu baada ya kuona sina mpango wa kuomba.
Waliamini nafaa na kweli nilitenda kama matarajio yao. Changamoto kidogo zilikuwepo lakini hazikufanya mambo kuharibika.

Kama ilivyo ada, ukipendwa na kundi la walio chini utachukiwa na baadhi walio juu. Lakini hali ilikuwa tofauti, makundi yote yaliunganishwa kwa namna ya kipekee sana.

Sitosahau hotuba yangu ya kuaga ambayo Pr..... alishindwa kuvumilia na kutoa machozi kabla ya kuondoka ukumbuni.

Hakika uongozi mzuri huacha alama ya kumbukumbu nzuri.
 
Leader girl O level na primary pia monitress la pili mpaka la tano huku kwingine nipo nipo tu
hongera mrembo je challenge gani asa ulizipata kama head girl😁😁😁😁😁😁unaonekana una uwezo
 
Back
Top Bottom