Digging deeper
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 787
- 512
- Thread starter
- #21
hongera tupe experience mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hongera tupe experience mkuu
mkuu huku si sehemu ya siasa wengine hayo mambo atu deal nayo sanaMimi ni IGP kiukweli najua kubambikia watu kesii na hakuna wakunifanya kitu
mkuu huku si sehemu ya siasa wengine hayo mambo atu deal nayo sana
Inategemea mkuu. Nimewahi kuwa kiongozi katika mazingira tofauti.Uzoefu kawaida tu nimenufaika kdg
Changamoto Ni skuli kuonekana una kiherehere yaani snitch
sawa mkuu vip tabia yako umeacha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
hongera sana labda unaonekana mhaminifu kwenye maswala ya pesa😁😁😁😁Mimi ninanyota ya Uongozi Kamati za Harusi...
hongera mrembo je challenge gani asa ulizipata kama head girl😁😁😁😁😁😁unaonekana una uwezoLeader girl O level na primary pia monitress la pili mpaka la tano huku kwingine nipo nipo tu
hahahahhahahhahha wewe ni ke afu ulikuwa msumbufu whyNdio!!! ila kiongozi wa kelele darasani.
😂😂😂😂😂😂😂😂sawa mkuu avatar inasadifu tabia yakojichanganye !
Basi tu hahaahahahahhahahhahha wewe ni ke afu ulikuwa msumbufu why
ayo maswali ya kuongerea viongozi unatoka nje ya lengo la uziKwani wp kuna siasa hapo?
ki nini kilikufanya uwe hivyo mpendwa😁😁😁Basi tu hahaa
😁😁😁😁😁hongera sana mkuu ulikuwa kipanga wa shule nini
Hapana mkuu😁😁😁😁😁hongera sana mkuu ulikuwa kipanga wa shule nini