Je ushawai kuwa kiongozi yoyote katika mazingira fulani

Digging deeper

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
787
Reaction score
512
Habari wana jf je wewe mdau mwezangu ushawai kuwa kiongozi katika mazingira fulani iwe shuleni ,kazini au sehemu yoyote tupe experience yako,binafsi katika elimu ya sekondari nilikuwa kiongozi.
 
Uzoefu kawaida tu nimenufaika kdg
Changamoto Ni skuli kuonekana una kiherehere yaani snitch
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ndio washikaji wanakutenga ko sometimes inabidi uwe fair tu
 
duu mkuu upo serious[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukukamatwa kweli

vituo vyote nimepita mpaka jela !.
we uliza vituo vinavyo fanana nitakueleza labda kiwe kipya dsm
 
Kuna Office naiongoza wafanyakazi wengi ni wanawake aisee kuna changamoto sana.
kuwaongoza wanawake nikazi sana bora wanaume.
mkuu shida ya wanawake wanajirahisha sana wanapenda slope😁😁😁😁
 
Habari wana jf je wewe mdau mwezangu ushawai kuwa kiongozi katika mazingira fulani iwe shuleni ,kazini au sehemu yoyote tupe experience yako,binafsi katika elimu ya sekondari nilikuwa kiongozi.
Mimi ni kiongozi huru wa TLP ndani ya CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…