Je, Usher Raymond anaweza Kumfunika Rihanna katika tamasha la Super Bowl Half Time Show?

Je, Usher Raymond anaweza Kumfunika Rihanna katika tamasha la Super Bowl Half Time Show?

wewe.....

Humjui usher raymond. Nadhan wewe ni kizazi kipya.Huyu jamaa alikua anaimba RnB kipindi wasanii wengi wa RnB ni madem lkn alikua anawaafunika, angalia shows zake za 2005 kurudi nyuma ndo utajua unaongelea mtu gani.

Hawa ni veterans wa game la RnB.

Anyway ni kati ya wasanii wachache nnaotamani kuwaona wanaperform halftime show
Usher anaimba RnB au POP?
 
Pole kwa upwiru pambana nao tu,
Tunabet hapa hiyo 100k.....

"Ikumbukwe kuwa onesho la Rihanna la Half Time Show la Februari 12, 2023 liliweka rekodi kwa kutazamwa na watu Milioni 121 likivunja rekodi ya onesho la Katy Perry la mwaka 2015

Vipi Mdau, unadhani Usher anaweza kuvunja rekodi ya Riri?"

Ngoja tuone Old School wako akivunja hiyo rekodi.
To be specific ni 121.017, lakini hapo kuna watoto, maniacs etc..... ndo maana mwanzo nilkupa mfano wa show ya Dr Dre walivyojazana figures na icons wengi wanaoelewa mziki wa live ni nini.

Anyway tusubiri tuone, Akipita hio namba osha kabisa na uandae kisu cha kumenyea, na-bookmark huu uzi
 
Pole kwa upwiru pambana nao tu,
Tunabet hapa hiyo 100k.....

"Ikumbukwe kuwa onesho la Rihanna la Half Time Show la Februari 12, 2023 liliweka rekodi kwa kutazamwa na watu Milioni 121 likivunja rekodi ya onesho la Katy Perry la mwaka 2015

Vipi Mdau, unadhani Usher anaweza kuvunja rekodi ya Riri?"

Ngoja tuone Old School wako akivunja hiyo rekodi.
Humjui Usher wewe
 
Nilichomaanisha mkuu, unajua gaga alijengwa na controversies,mfano atembee uchi au aingie kwenye awards kwenye yai au avae nguo za nyama na chochote kinachoashiria illuminat. Kwa hiyo watu wakaondoa focus sana kwenye kipaji chake haswa kama singer
Sema bado anafanya poa sana skuiz anauza lipstick na hata kwenye mziki yupo poa tu na usishau anaigiza pia alivyoanza kuigiza akawa atoi ngoma
 
Sema bado anafanya poa sana skuiz anauza lipstick na hata kwenye mziki yupo poa tu na usishau anaigiza pia alivyoanza kuigiza akawa atoi ngoma
Ni good actress pia maana ashapata awards. Kiufupi lady gaga ni underrated sana
 
Riri ni overrated nilishasema humu. Na Usher washabiki wake sio genZ, utaona mastaa watakaokuwemo humu. Unakumbuka halftime show ya Dr Dre mastaa na honorables walivyojazana? Sasa subiri mwanafunzi wa MJ aende pale mimi nitakuwa nakuhesabia tu mastaa. Ukitaka kubet tubet unakaribish, mwakani ni kesho tu, ukishinda nakupa 100k, nikishinda unanipa tunda
Mimi huyo Rihanna wenu sijawahi kumuelewa. Ninachokumbuka kuhusu Rihana ni kwamba aliwahi kuwa mahusiano na Chriss Brown na akapigwa na ninachokumbuka kuhusu Criss Brown ni kwamba aliwahi kuwa kwenye mahusiano na Rihana halafu akampiga...ni hayo

Usher is a baddass...
 
Back
Top Bottom