Je, Usher Raymond anaweza Kumfunika Rihanna katika tamasha la Super Bowl Half Time Show?

Usher anaimba RnB au POP?
 
To be specific ni 121.017, lakini hapo kuna watoto, maniacs etc..... ndo maana mwanzo nilkupa mfano wa show ya Dr Dre walivyojazana figures na icons wengi wanaoelewa mziki wa live ni nini.

Anyway tusubiri tuone, Akipita hio namba osha kabisa na uandae kisu cha kumenyea, na-bookmark huu uzi
 
Humjui Usher wewe
 
Nilichomaanisha mkuu, unajua gaga alijengwa na controversies,mfano atembee uchi au aingie kwenye awards kwenye yai au avae nguo za nyama na chochote kinachoashiria illuminat. Kwa hiyo watu wakaondoa focus sana kwenye kipaji chake haswa kama singer
Sema bado anafanya poa sana skuiz anauza lipstick na hata kwenye mziki yupo poa tu na usishau anaigiza pia alivyoanza kuigiza akawa atoi ngoma
 
Sema bado anafanya poa sana skuiz anauza lipstick na hata kwenye mziki yupo poa tu na usishau anaigiza pia alivyoanza kuigiza akawa atoi ngoma
Ni good actress pia maana ashapata awards. Kiufupi lady gaga ni underrated sana
 
Ni good actress pia maana ashapata awards. Kiufupi lady gaga ni underrated sana
Kama ningekuwa star marekani mwanamke wa kwanza kumla tunda ningeanza na lady gaga ananivutia sana yule mtoto
 
Mimi huyo Rihanna wenu sijawahi kumuelewa. Ninachokumbuka kuhusu Rihana ni kwamba aliwahi kuwa mahusiano na Chriss Brown na akapigwa na ninachokumbuka kuhusu Criss Brown ni kwamba aliwahi kuwa kwenye mahusiano na Rihana halafu akampiga...ni hayo

Usher is a baddass...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…