Je, Usher Raymond anaweza Kumfunika Rihanna katika tamasha la Super Bowl Half Time Show?

Zimebaki siku tano ubishe umalizwe......hata aipovunja rekodi Ila Ila show atakayoifanya dunia itatikisika haswa kwA lile goma la nice and slow
 
Hana huo ushawishi
Mbali na ukweli kwamba Usher yupo mbele ya Rihanna mara zisizopungua 7 kiushawishi, ila kabla ya ku bet unapaswa kuzingatia kwamba, tangu hiyo 2015 hadi sasa, digital viewers wameongezeka sana na hivyo huenda hiyo 121 ya Rihanna ikaachawa mbali na Usher, usije ukashangaa watazamaji wakafikia milioni 250 hadi 310. Omgezeko la world population na viewers tu vinamuacha Rihanna. So viewers isitumike kama kigezo cha ubora au ushawishi.
Siku hizi maisha yamehamia mitandaoni.
 
Tetesi nilizozisikia kwamba Diddy alikuwa anamuharibu Usher kipindi bado yuko teenager zimenisikitisha sana
 
Asha gani tena wakuu?

Mimi namjua Asha mkojomrefu wa tandika
 
Asha gani tena wakuu?

Mimi namjua Asha mkojomrefu wa tandika
 
Baada ya kuangalia show ya Usher nikapata hamu ya ku rewatch ya Riri. Kwangu Rihanna's was better.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…