richaabra
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 1,472
- 3,511
Nashindwa kuelewa kila mwanaume nliyekutana nae huwa anashindwa kusex na mimi huku wakidai uke wangu umebana sana wakinambia huenda nna tatizo. Na wengine huwa wanakimbia kimya kimya wakidhani wao ndio wana tatizo la kutosimamisha vizuri
Je hichi ni kigezo cha bikra yangu wameshindwa kuitoa au ni ugonjwa huu?
Je hichi ni kigezo cha bikra yangu wameshindwa kuitoa au ni ugonjwa huu?