fablo can
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,223
- 1,267
Ndiyo maana nimesema mtoa mada ni jamvi la wageni au dimbwi la kuogelea. Kila mmoja anapita au anaogeleaUkiwa muongo unapashwa kuwa na kumbukumbu. Hicho ni kigezo muhimu sana kwa mtu yeyote. Mwisho wa kunukuu.