Ndiyo maana nimesema mtoa mada ni jamvi la wageni au dimbwi la kuogelea. Kila mmoja anapita au anaogeleaUkiwa muongo unapashwa kuwa na kumbukumbu. Hicho ni kigezo muhimu sana kwa mtu yeyote. Mwisho wa kunukuu.
alileta uzi unasomeka hivi"baada ya kumtoa usicha binamu yangu anataka tuwe wapenzi"
Huyu Richaabra ni Dume na Mapumbu yake,yupo hapa kujaza server za JF, Thread zake uwa si comment maana anatufanya wana JF mazwazwa kama yeye.
Asante sana
umeliumbua asee[emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante sana