Je usingekuwa ugonjwa wa ukimwi

lidoda

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2008
Posts
641
Reaction score
574
wa ndugu je kama usingekuwa ugonjwa wa ukimwi je maisha ya kijamii(kindoa, mahusiano ya jiko kubwa na ndogo, mahusiano ya boyfriend na girlfriend nk yangekuaje? Soko la akina dada poa, je akina "ant"
au kama sasa hivi dawe ikapatikana na wagonjwa wa ukimwi wakatibika ingekuaje.
 
Hali ingekuwa kama sasa hivi. Sababu, mambo ya ngono yamekuwa kwa kasi sana mara baada ya ukimwi kugundulika.
 
Watu wanaogopa mimba kuliko ukimwi.ingekuwa kama ilivyo sasa
 
lidoda..Jibu rahisi..usingekuwepo ukimwi..maisha bongo yangekuwa magumu.... NGO za ukimwi zisingekuwepo... Msaada toka Marekani wa ajili ya ukimwi ingekuwepo hamna..Magari yangekuwa machache..na wale waliojenga majumba kwa hela za misaada hizo nyumba zisingekuwepo...yaani mkuu uchumi ungeyumba...
 
watanzania sasa tungekuwa tunakaribia millioni 80
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…