LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Mwaka 2004 kuna mtu mmoja ( Mkristu) aliniambia ameoteshwa kwamba Mazinge ameokoka. Amekuwa mchungaji mkubwa sana na kanisa kubwa sana Tanzania.
I told him " Sundu Meru".
( Wajaluo wakina popoma wa Bunda vijijini wanajua nini maana ya " Sundu Meru")
Huyu jamaa tulikuwa tunabishana sana kuhusu mambo ya dini alikuwa mbishi sana..
Kwa siku za hivi karibuni, Mazinge ameanza kudemonstrate behaviours ambazo zina suggest kwamba ni kama vile ame retard.
Mfano : 👇👇👇👇
1. Kushirikiana waziwazi na Bwana Mdogo Abuu Dunya almaarufu Shareef Firdaus AlQadiry ( Siku zote najuaga Firdaus ni jina la kike. Kwenye familia na ukoo wangu Nina ndugu zangu wengi sana wa kike wa kuitwa Firdaus. Nashangaa mwanaume kujiita Firdaus, au kwa sababu ni Nick Name? Anyways hii sio issue)
Shareef Firdaus amekuwa akilalamikiwa na waislamu wengi kutumia vibaya dini ya kiislamu kwa kuhusisha huduma yake (uganga) na dini ya kiislamu.
Alipaswa kuitangaza " huduma" yake kama anavyo fanya " Manyaunyau" na sio kuitangaza kupitia dini ya kiislamu kama anavyo fanya yeye kwa kujitangaza kuwa yeye ni Shareef na kwamba kituo chake ni kituo cha duwa wakati kiuhalisia kituo chake ni kituo cha uganga wa tunguli mambo ya leta mbuzi leta kuku chimba fukia kaoge kaburini etc
(Kwa vilaza: Mtu anaweza kuwa anajiita muislamu na akawa mganga kama Bwana Manyaunyau. Lakini anacho kifanya sio uislamu wala hakihusiani vyovyote na mafundisho ya uislamu ndio maana Saudi Arabia ukishikwa na Tunguli wanakata kichwa.
Anacho kifanya Firdaus ni kujitangaza kwamba yeye ni Shareef na anacho kifanya kipo ndani ya uislamu. Waislamu wasinge kuwa na shida nae hata kidogo kama asinge jinasibisha na uislamu. Angebaki mganga kama mganga)
Mazinge kumsapoti Shareef Firdaus ni jambo ambalo limewakwaza na kuwaacha na butwaa waislamu wengi.
Sheikh Kishki kamuonya kajibiwa kwa kejeli.
Personally I was waiting in vain for whatever kind of an ALIBI that Mazinge was going to come up with to spiritually justify his support on Shareef Firdaus.
Tukio namba mbili ni hili la juzi la kuhudhuria " kiki" ya Hermonize na Kajala, iliyo ratibiwa vyema na Mwijaku kwa kuwashirikisha Juma Lokole na Stan Bakora.
Personally ingawa I am not an extremist.
Sifungwi tena na dini but I have got a very deep respect on Islam and the teachings of Prophet Muhammad( Peace be upon Him) as equally as I have the same level of respect to Jesus Christ of Nazareth and his teachings.
So kuona vitu vilivyo fanywa na Juma Lokole et al hapo Leaders Club jana huku kwenye back ground nikisikia sauti ya Mazinge ikisoma duwa nafsi yangu imekuwa troubled as equally as how the soul of Jesus was troubled when he learnt about the death of his friend Lazarus.
Nilighafirika zaidi niliposikia sauti ya Mazinge ikisema " acheni ugomvi nyie vijana. Juma acha ..."
Uki tazama body language za wahusika wote kwenye tukio. Ukisoma sauti za ndani ( inner voice / voice -intensity) zao kwenye hilo tukio, pasi na shaka yoyote utagundua kwamba tukio hilo lilikuwa ni kiki.
Wa " sayin gay" akina Mwijaku watakuwa wamempa hela Ustaaz Mazinge ili aende kujidhalilisha hapo.
Kwa mtu alie mfahamu Mazinge miaka ya tisini na elfu2 mwanzoni halafu akafa miaka hiyo leo hii ukimfufua halafu ukamwambia Mazinge amekuwa hivyo ambavyo amekuwa, he will tell you " SUNDU MERU"
JE behaviour ya Mazinge ina sema nini? Ame retard? Au yupo mbioni kuretard?
Je utabiri wa mwaka 2004,kuhusu Mazinge u mbioni kutimia?
Una Asilimia kubwa sana ya kutimia kwa sababu kuu 3: 👇👇
1. Mazinge anaijua Biblia vizuri sana pengine kuliko mamilioni ya wakristu duniani.
2. Ukaribu wake na Shareef Firdaus una eleza mambo yafuatayo kuhusu Mazinge: 👇👇
i. Anapenda hela ( kwa sababu yupo kwenye kituo cha Shareef Firdaus kwa sababu ya Pesa..Dogo anazingatia maokoto sana kwa mashekhe wakongwe wanao msapoti).
ii. Linapokuja suala la pesa na Maslahi yake Binafsi, Mazinge doesn't give a "far-key" about anything. Ndio maana licha ya watu kama Sheikh Kishki kumsema kuhusu ukaribu wake na Shareef Firdaus lakini bado anafanya nae kazi ( very proudly) na amempiga Kishki vijembe kuhusu hilo.
( kwa mfano kuna clip moja ya tiktok yupo Mazinge na dogo Firdaus wana mnanga Kishki kimafumbo pamoja na waislamu wanaoponda ukaribu wake na Firdaus. Pamoja na maneno mengi kwenye clip hiyo Mazinge anasikika akisema" Kuna baadhi ya watu wana comment wanasema " Mazinge ukaribu wako na Firdaus umenifanya nikuvunjie heshima, haya sasa nivunjie heshima......)
3. Kushiriki kwenye events za celebrities wa kibongo( kuwa kwenye inner-circles yao) kwa kulipwa pesa, kuna prove pia Mazinge put money first and he doesn't give a https://jamii.app/JFUserGuide about anything else.
4. Waislamu huwa hawanaga ujinga wa kulipa mamilioni ya sadaka kwa masheikh.
5. Wakristu wanalipa pesa nyingi sana za sadaka kwa wachungaji.
Mazinge analijua hili na mara kadhaa amekuwa akizungumzia event ya Mwamposa kupiga milioni mia tisa kwa siku moja kwa kuuza udongo wa upako kwenye mkesha kwa mkapa.
6. Mazinge anaonekana ndio mentor wa Firdaus na Firdaus kutumia style ya Mwamposa ( kuwamwagia watu maji na mafuta ya upako) linaweza kuwa wazo la Mazinge.
7. Kuitwa kwenye event za wasanii etc na kupewa pesa kidogo au kufanya kazi na Firdaus kwa ajili ya malipo ya vipande vya fedha ni mambo yanayo suggest kwamba, Mazinge anaweza kununulika. Mazinge akishawishiwa kwamba akifungua kanisa anaweza kupata maelfu ya waumini ambao watakuwa wanampa mamilioni kila Jumapili, anaweza kutangaza " kuokoka" na kufungua kanisa.
# Put your trust in God and not in people cause people change