Mnamo Oktoba Julian Alvarez alipohojiwa na waandishi wa habari, alisema:
"Wachezaji wa Ureno na Rodri walikuwa wakizungumza kuhusu nani angeweza kushinda Kombe la Dunia. Walikuwa wakisema Ureno, Ufaransa, na mataifa mengine ya Ulaya. Kisha Pep [Guardiola] akasema, 'unajua nani ana nafasi nzuri zaidi?'. Hakusema chochote [ila] akaninyooshea kidole."
Argentina sasa wamebakiza mechi moja kushinda WC.
πͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺ