Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #121
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumshika titi kisha unakimbia huku unamzomea
Aanze kutembea na Vaseline sababu jamaa kisha kodi kikosi kazi kurudisha heshimaWakulungwa..... habari Gani
Huku kimeumana Kuna jamaa yangu ameyatimba Baada ya kumtongoza shemeji ake ( mke wa rafiki yake) na huyo mke wa rafiki yake ametolea uvivu Kwa kumtukana
Jamaa angu amechanganyikiwa hajui la kufanya kama habari zitafika Kwa mwenye Mali ..
Je mshkaji atumie njia Gani ku escape hili Soo..... only legend have to answer this.....
Najua vijana wa hovyo mtasema ni Mimi???
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Tuombeane mema mkuuAanze kutembea na Vaseline sababu jamaa kisha kodi kikosi kazi kurudisha heshima
Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
Utakuwa utoto sasaKumshika titi kisha unakimbia huku unamzomea
Akili hanaWakulungwa..... habari Gani