holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Wakuu,
Kua uyaone na si magari wala maghorofa.katika familia nyingi za kiafrika wanaume wengi wanalea watoto ambao sio wao,na kiukweli hawalijui hilo,wanawake wengi wanapewa ujauzito nje ya ndoa kisha kuwabambika waume zao kuwa ujauzito huo ni wakwao.!
Kuna kipindi dada yangu mkubwa ( mama zetu ni wa mama na baba mmoja) kulitokea uvumi kuwa huwa anatembea na jirani yake,lakini mimi kwa ukaidi wangu nikawa nabisha. Baadae mtoto aliyezaliwa ni copy ya jirani aliyekuwa anatembea nae, yaani mtoto anafanana na huyo jamaa kuanzia nywele,rangi,miguu na vyote,licha ya hayo shemeji hajui lolote na anaamini kuwa ni miongoni mwa watoto wake.
Hili jambo linawakuta wanaume wengi sana,na laiti vipimo vya DNA vingekuwa cheap, tungebakiwa na watoto watatu kati ya 10 tuliojaliwa na wake zetu.
Je, siku ukigundua kuwa umefanyiwa hivyo na mkeo,utafanya nini! SweetyCandy Binti Sayuni03