Je, Utafanyaje ukigundua kuwa Mke wako alichepuka kisha kuzalishwa ila unaamini kuwa ni mtoto wako?

holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
1,859
Reaction score
2,986
Wakuu,

Kua uyaone na si magari wala maghorofa.katika familia nyingi za kiafrika wanaume wengi wanalea watoto ambao sio wao,na kiukweli hawalijui hilo,wanawake wengi wanapewa ujauzito nje ya ndoa kisha kuwabambika waume zao kuwa ujauzito huo ni wakwao.!

Kuna kipindi dada yangu mkubwa ( mama zetu ni wa mama na baba mmoja) kulitokea uvumi kuwa huwa anatembea na jirani yake,lakini mimi kwa ukaidi wangu nikawa nabisha. Baadae mtoto aliyezaliwa ni copy ya jirani aliyekuwa anatembea nae, yaani mtoto anafanana na huyo jamaa kuanzia nywele,rangi,miguu na vyote,licha ya hayo shemeji hajui lolote na anaamini kuwa ni miongoni mwa watoto wake.

Hili jambo linawakuta wanaume wengi sana,na laiti vipimo vya DNA vingekuwa cheap, tungebakiwa na watoto watatu kati ya 10 tuliojaliwa na wake zetu.

Je, siku ukigundua kuwa umefanyiwa hivyo na mkeo,utafanya nini! SweetyCandy Binti Sayuni03
 
nadhani majibu mazuri utayapata kwa shemeji yako na jirani aliyemzalisha dada yako
 
Hivi sio vitu vya kufuatilia sana kuwa kama watu wa Musoma tu watoto waliozaliwa kwa Mkewe wote ni wake hata kama alichepuka. Ila akukushika na mchepuko wake umeisha.
 
Kuna wale wenye adabu...hutosikia neno wala kejeli...watu huendelea na Maisha kimya kimya...inakufa upande wa mama ( mke) akiugulia kujua kuwa Mume hajui na hana muda,yu busy kutafuta pesa na kulea familia.

Familia tajwa hapo juu ukichanganya tu,gunia la Mkaa linakuhusu mapema sana.

Kuna ile mwanaume anajua anakulia muda tu akuzibue masikio.

Kuna mwanaume anajua ama amejua,hiyo unaenda wewe na Watoto wako wote haijalishi ana wa kwake hapo,huji kumsikia tena.
 
wanawake wana siri nyingi sana wakuu.
 
Kuishi na Mwanamke Malaya ni Kipengele sasa kafika mpaka hatua ya kukuletea mtoto wa nje huyo kukuwahisha kwenda kumuona kiongozi wa Malaika ni Chap tu...
 
Wakuu,

Kua uyaone na si magari wala maghorofa.katika familia nyingi za kiafrika wanaume wengi wanalea watoto ambao sio wao,na kiukweli hawalijui hilo,wanawake wengi wanapewa ujauzito nje ya ndoa kisha kuwabambika waume zao kuwa ujauzito huo ni wakwao.!

Kuna kipindi dada yangu mkubwa ( mama zetu ni wa mama na baba mmoja) kulitokea uvumi kuwa huwa anatembea na jirani yake,lakini mimi kwa ukaidi wangu nikawa nabisha. Baadae mtoto aliyezaliwa ni copy ya jirani aliyekuwa anatembea nae, yaani mtoto anafanana na huyo jamaa kuanzia nywele,rangi,miguu na vyote,licha ya hayo shemeji hajui lolote na anaamini kuwa ni miongoni mwa watoto wake.

Hili jambo linawakuta wanaume wengi sana,na laiti vipimo vya DNA vingekuwa cheap, tungebakiwa na watoto watatu kati ya 10 tuliojaliwa na wake zetu.

Je, siku ukigundua kuwa umefanyiwa hivyo na mkeo,utafanya nini! SweetyCandy Binti Sayuni03

kuwa social father sio mbaya, esp kama uko vizuri kiuchumi na kiroho
 
Mnajiumiza bila kitu na huwa mnafanya makosa sana kufanya hata hiyo DNA. Mmeshaambiwa kitanda hakizai haramu.

Huyo ni mwanao nyamaza na maisha yaendelee kwanza duniani pemyewe tunapita mkuu.
 
Back
Top Bottom