GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,007
- 5,290
Shukrani, kiukweli mm nahitaji msaada kwenye eneo hiloHapana.
Sipo hapa kumtoza fedha mtu yeyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani, kiukweli mm nahitaji msaada kwenye eneo hiloHapana.
Sipo hapa kumtoza fedha mtu yeyote.
Na hili unalosema ndiyo sababu kuu biashara nyingi mpya kufail.Namba moja nakataa,unaweza kuanzisha biashara ambayo huna wateja kabisa lakininkama ukiwa mbunifu,biashara yako ipo unique na ina provide value to people unaweza kupata wateja baada ya mda flani.Kikubwa anzisha hata kitu kipya,hakikisha kinarahisisha au kuleta unafuu katika maisha,fanya research za kutosha,kua na maono na biashara yako mpya,kitangaze vzr na mwisho pigia cost ya kusustain hiyo biashara kwa miezi kama 6 bila kuwa na faida au wateja wachache.
Narudia tena nakupinga kwa vitu viwili cha kwanza si kila biashara unaweza kuanza kuongea na wateja wako wanataka nini hilo la kwanza sababu kuna biashara nyingine unahitaji kuwa na sehemu nzuri tu ya biashara mambo mengine yanajiseti.Japo la pili elewa kitu kimoja matajiri wote walianza anza na kuwa na wazo ambalo watu wengi waliona ni upuuzi mtupu lakini kadiri siku zinavyozidi kwenda ndo watu wanaelewa kuwa kumbe hii ni fursa wakati huo wewe ni tajiri tyr...mimi ni mfabyabiashara na muumini mzuri wa kuanzisha vitu unique sitasema nilianzisha nini lakini nilianzisha sehemu biashara ambayo hakuna mtu hata alifikiria,ilikuwa ni mara ya kwanza sina mteja ila nina research ya kutosha niliteseka kwa kama miezi 6 lakini service nikiyokuwa natoa ni unique na muhimu.Inanilipa sana,sometimes unahitaji kutoa huduma ambayo ni muhimu kiasi kwamba lazima wateja baaada ya mda flani waje wenyeweNa hili unalosema ndiyo sababu kuu biashara nyingi mpya kufail.
Ukishapata idea ya biashara jambo la kwanza kabisa hata kama unadhani hilo wazo lako ni zuri vipi nakushauri nenda kwanza kaongee na wateja unaodhani watanunua product au service yako.
Siri kuu kwenye business ni kujua njia bora ya kuhudumia au kutatua changamoto ya wateja wako.
Na kujua hili INAKUPASA uongee na potential clients uwasikiliza what they need.
From there you discover best way to help them.
Usipoanza na kuelewa soko lako uta-strungle au utatumia muda mrefu kujua wateja wanataka nini hasa.
Na kama ikitokea mjasiriamali mwingine ameanzisha business kama yako na alizingatia hayo niliyosema basi biashara yako itakwama.
I'm telling this from personal experiences.
Pia hii ndiyo strategy inatumiwa na biashara zinazofanikiwa.
Don't fool yourself you understand everything than clients you want to serve.
Hapo umesema uli-strungle miezi sita or more. Unadhani ni kwanini?Narudia tena nakupinga kwa vitu viwili cha kwanza si kila biashara unaweza kuanza kuongea na wateja wako wanataka nini hilo la kwanza sababu kuna biashara nyingine unahitaji kuwa na sehemu nzuri tu ya biashara mambo mengine yanajiseti.Japo la pili elewa kitu kimoja matajiri wote walianza anza na kuwa na wazo ambalo watu wengi waliona ni upuuzi mtupu lakini kadiri siku zinavyozidi kwenda ndo watu wanaelewa kuwa kumbe hii ni fursa wakati huo wewe ni tajiri tyr...mimi ni mfabyabiashara na muumini mzuri wa kuanzisha vitu unique sitasema nilianzisha nini lakini nilianzisha sehemu biashara ambayo hakuna mtu hata alifikiria,ilikuwa ni mara ya kwanza sina mteja ila nina research ya kutosha niliteseka kwa kama miezi 6 lakini service nikiyokuwa natoa ni unique na muhimu.Inanilipa sana,sometimes unahitaji kutoa huduma ambayo ni muhimu kiasi kwamba lazima wateja baaada ya mda flani waje wenyewe
Kama mtu sio mvumilivu ni bora aajiriwe tu biashara sio kwa watu ambao sio wavumilivu,pili utakubaliana na mimi biashara sio kitu cha kuanzisha na kupata faida siku hiyo hiyo ingawa biashara chache sana zipo hivo.kama unazungumzia biashara zenye structure sawa nakubali lakini to persist sio kitu kidogo.Na brand hujengi kwa siku moja na ukitaka ufail kwenye kujenga brand basi tanguliza mbele faida kuliko quality service. Umenishangaa mimi ku struggle kwa miezi sita wakati brand unaweza jenga hata kwa miaka 5 mwaka wa sita ndo ukaanza kula faida.Kumbuka joti na mpoki ili brand wametumia mda gani kuijenga sasa mcheki mtu millard ayo alipotoka.Guys biashara sio akili nyingi pekee,wasomi tunafail hapa kwenye UVUMILIVUHapo umesema uli-strungle miezi sita or more. Unadhani ni kwanini?
Because you missed the key. So you had to spend more time to fix common mistakes that are easily to avoid kama ungeanza kwa kupata mawazo ya client wako how they wish to be served.
Pia kumbuka hapa nazungumzia kuunda business brand.
Siyo biashara zisizo na structure.
Hiyo hata kujadili hai-make sense.
Got my point?
Vipi kama hiyo biashara yako ingeanzishwa na mtu asiye mvumilivu (most people are lazy) si ange give up na biashara kufa?
You may succeed o