Je, utajuaje kama unapendwa au unampenda mtu?

Je, utajuaje kama unapendwa au unampenda mtu?

Mr Lukwaro

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2023
Posts
359
Reaction score
629
Hili ni jambo nyeti sana, sometimes ni ngumu kujua je umempenda mtu au umemtamani mtu, au mtu anakupenda kweli au amekutamani tu.

Can I have your attention, kwa wale ambao wanashindwa kujua kuwa wamempenda mtu kweli au wamemtamani tu?

1. Kumpenda jinsi alivyo, no matter anamiliki nini, je ni handsome au mzuri?

2.Mtu unayempenda ni rahisi kumuonesha heshima na kumjali.

3. Mtu unayempenda ni rahisi kumsamehe, hata kama amefanya jambo kubwa.

4. Mtu unayempenda kweli ni lazima uwe na wivu juu yake.

5. Mtu uane mpenda utampa muda wako.

ILI UJUE UNAPENDWA KWELI UTAONA VIFUATAVYO;

1. Lazima atakuwa anaonyesha kukujali na kukuheshimu.

2. Atakupa muda wake.

3. Hawezi kukupa vitu vilivyo juu ya uwezo wako.

4. Mtu anekupenda kweli ni rahisi kukuelewa hata kama hujamuelezea.

Japo hayo ni baadhi tu. Kwenye upendo wa kweli lazima utaona tu, Hata hauto adithiwa wala kuwa na shaka lolote
 
Kujua Kama fani ama kazi unaiyofanya Ni sahihi kwako ama unafanya ilimradi mkono uende kinywani utajuaje na unashauriaje watu kujijua ama kujifunza namna ya kujua mahala pao
 
Kujua kama unapendwa haisaidii chochote ,komaa uji upgrade kwanza ,utapata watu wa maana Zaid ya hao unaowasubiria wakupende kipindi hiki
 
Upendo wa kweli haujifichi..Ni suala la muda tu!
 
Back
Top Bottom