Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,489
- 4,253
Hapo zamani za kale, miaka zaidi ya 4000+ iliyopita katika nchi ya Israel walipewa agizo. Agizo hilo la kuwatenga wakoma mbali na Kusanyiko la wana wa Israeli.
linapatikana kitabu cha Hesabu 5:2 Waamuru wana wa Israel wawatoe watu wote wenye magonjwa ya ngozi yanayoambukiza, na kila mwenye mwenye vidonda vinavyotoa harufu, na ambaye amenajisika kwa kugusa maiti.
Leo hii hali inayoendelea huko nchini Lebanon 😀naona fagio linaendelea, hata wale waliomtakia safari njema mpendwa wao KIMEWALAMBA.Hata ndugu njegere aliyekuwa pale azikiwe naye kapewa mkono wa kwaheri.
Ni heri kukaa mbali na waliotengwa na mkutano 😀😀MWENYE MASIKIO ASIKIE