Mimi apumzike tu Wallah heri nusu Shari kuliko Shari kamili,maana wazungu niwajuavyo wangetutengezea ugonjwa wa peke yetu hauvuki mpaka ugonjwa huo.
 
We miss him.

Nchisaivi imejiendea tu kama imefungwa bembea.

Sauti ya wazungu inanguvu kuliko ya wa TZ.
 
Amekula maisha kuliko maadui zake, alishakula ujana na alikua anauanza uzee, ambao hata wamchukia hawatafika umri wake, kama bata alikula na wakati ulifika akapumzika.
Rais bora wakati wote
 
Aisee nadhani maneno ya jamaa yanaweza kuwa na ukweli flani kwamba akifariki tutamkumbuka. Kipindi hajafariki umeme ulikuwa haukatika kama wanavyofanya sasa hivi TANESCO . This is too much, toka asubuhi hakuna umeme mpaka sasa hivi inaelekea saa moja za usiku na haieleweki watarudisha saa ngapi. Mama inabidi awe mkali sasa, naona kama kuna hujuma za wazi kabisa. Haiwezekani kipindi mzee baba yupo hai umeme ulikuwa haukatiki kama unavyokatika lakini sasa hivi unakatika siku nzima, kwani kipi kimebadirika kama sio hujuma za wazi kabisa. Mama TANESCO wanakuhujumu. Biashara ngapi zinazotegemea nishati ya umeme zinakosa mapato kwa sababu ya kukosekana kwa umeme? Kodi kiasi gani inapotea kwa sababu ya biashara kushindwa kufanya kazi?
 
Yaan umeona ,kilio umpelekee Mama??


Hamna kitu humo !!! Tumepigwa, na Katiba ya Jamhuri ndio imetupiga.
 
Mataa ya Africana yalikaa wiki nzima yamezima wiki chache tu baada ya mkulu kwenda zake.
[emoji847]
 
Labda km unazungumzia Rais wa maneno maneno matamu yakusikiliza.

Macho malegevu.
Biashara ngapi zinazotegemea umeme zinashindwa kufanya kazi? Kodi kiasi gani inapotea kwa kukosekana umeme. Mama inabidi abadirike, watu wanamhujumu kwa maksudi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usicheke mkuu. Mambo kama yanasimama ujue. Haiwezekani kipindi jamaa yupo hai hawa TANESCO walikuwa hawafanyi huu uhuni. Nini kimebadirika? Biashara kibao zinakosa mapato kwa sababu ya huu uhuni. Kodi kibao inapotea kwa ajili ya huu uhuni. Mama anatakiwa adeal na hawa TANESCO.
 
Pengo ni kubwa HakyaMungu


Na tuliyajua haya,Binadamu ni kama nyani ukicheka nae utavuna mabua hasa binadamu mweusi. Yule baba ndio maana alitanguliza ukali mbele, watu wasipokuogopa sauti yako wanakupanda popote na hamna kitu utafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…