Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Bado Serikali ya CCm Inatambua umuhimu wa kujitegemea.
Hakuna chama kingine chenye Sera hii ...wengine wote ni vibaraka wa mabwanyenye waliopo kuhatarisha Ustawi wa Sera ya ujamaa na kujitegemea
White waahing again 😂
 
Jiwe alikuwa muuaji, ni bora na yeye alivyokufa. Mshenzi mwanaharamu yule.
 
Umempa sifa za uongo mtupu Magufuli. Magufuli hakuwahi kuendesha serikali kwa misingi ya kujitegemea. Hakuwahi kukataa misaada wala mikopo ya wageni. Mpaka anafariki dunia, bado bajeti yetu ya mwaka kwa karibu 40% ilikuwa ikitegemea misaada, huku deni la taifa likipaa kwa kasi kubwa kuliko watangulizi wake wote.

Unawezaje kusema unajitegemea wakati huo huo unaendesha nchi kwa kutegemea misaada na mikopo ya wa wageni?
Kwa kifupi jiwe alikuwa muongo na mnafiki.

Mtu pekee ambaye at list alikuwa na maono ya kujitegemea alikuwa Nyerere ambaye mbali na kuhubiri kuhusu kujitegemea aliishi hivyo hivyo katika siasa za kujitegemea japokuwa siasa zake za kujitegemea zilishindwa vibaya.
 
Back
Top Bottom