Pengo ni kubwa HakyaMungu

Na tuliyajua haya,Binadamu ni kama nyani ukicheka nae utavuna mabua hasa binadamu mweusi. Yule baba ndio maana alitanguliza ukali mbele, watu wasipokuogopa sauti yako wanakupanda popote na hamna kitu utafanya.
Kabisa, haya ni maksudi. Mbona kipindi jamaa yupo hai walikuwa hawakati kama hivi? Kipi kimebadirika? Toka asubuhi mpaka sasa hivi umeme haujarudi. Biashara ngapi zinazotegemea umeme hazijafanya kazi?
 
Tanzania ilipoteza Raisi wake Tarehe 17 March 2021.
Bora kukaa gizani kuliko mateso ya kutawaliwa kidikteta na mtawala muovu anayeteua viongozi wa kumsaidia wahalifu kama Sabaya.

Big no kwa utawala wa aina ya mwendazake hata kama kila mtu atalazimika kununua jenereta lake....sawa tu!
 
Reactions: Qwy
Kabisa, haya ni maksudi. Mbona kipindi jamaa yupo hai walikuwa hawakati kama hivi? Kipi kimebadirika? Toka asubuhi mpaka sasa hivi umeme haujarudi. Biashara ngapi zinazotegemea umeme hazijafanya kazi?
Si walikua wanamuogopa, wanajua kila siku anaongea na wananchi sasa itokee mwananchi karopoka sikuhio hio TANESCO nzima inafanyiwa mabadiliko[emoji2][emoji2]
 
Kumleta Gwajima mpinga Chanjo kwenye bunge
 
Reactions: Qwy
Bora kukaa gizani kuliko mateso ya kutawaliwa kidikteta na mtawala muovu anayeteua viongozi wa kumsaidia wahalifu kama Sabaya.

Big no kwa utawala wa aina ya mwendazake hata kama kila mtu atalazimika kununua jenereta lake....sawa tu!
Wafanyakazi wa ndani mna shida sana...unajua gharama za kuendesha jenereta?au ndo mpo bze mnasubiri boss aondoke muwashe Tv
 
[emoji106][emoji106]
 
Wafanyakazi wa ndani mna shida sana...unajua gharama za kuendesha jenereta?au ndo mpo bze mnasubiri boss aondoke muwashe Tv
Siyo tu kujua gharama za jenereta. Nazimiliki.

Kwangu uhuru ni jambo la kwanza.

Siwezi kukubali mtawala dhalimu achukue uhuru wangu na wa wenzangu kwa kisingizio chochote.
 
Pengo ni kubwa HakyaMungu

Na tuliyajua haya,Binadamu ni kama nyani ukicheka nae utavuna mabua hasa binadamu mweusi. Yule baba ndio maana alitanguliza ukali mbele, watu wasipokuogopa sauti yako wanakupanda popote na hamna kitu utafanya.
Na kuua, kubaka demokrasia, kubambikia watu kesi ilikuwa ni mikakati ya kuepuka kuvuna mabua?
Attempted assassination ya Tundu Lissu ilikuwa ni kwa ajili ya kuepuka kuvuna mabua?
Aendelee kuoza na if possible afe tena huko huko aliko, unyama wake uli overshadow mengine yote.
 
Nakukumbusha tu kuwa hata uwe mwema sana kuliko huyo unaemtukana kwenye hii comment yako,ardhini utaingizwa tu maana huko hapachagui, kwahiyo me sioni kama kifo kinaweza kutumika kama sababu ya wewe kujifariji.

Hapo ulipo huenda utakufa leo usiku wakati umelala,yes utakufa leo mkuu.

La msingi ni kutafuta pesa Ili kesho ikifika walau usizikwe kama mbwa, uzikwe kwa heshima kama huyo unaemtaja hapo.
 
nipe uthibitisho wa haya uzungumzayo?
 
Ujinga mtupu
 
Naheshimu sana kuwa Mji Mkuu wa Tanzania ni Mkoa wa Dodoma lakini nisikufiche popote ulipo Hayati Rais Dkt. Magufuli Mimi GENTAMYCINE napenda mno Kuishi Dar es Salaam, ila huko Dodoma nitakuwa naenda tu mara moja moja 'Kuzuga' ili 'Mizimu' ya wenye Tanzania yao isinidhuru na kufanya nianze 'Kuchukiwa' na Watanzania wa Bara na Visiwani.

Ili kukuenzi tu Rais wangu ( Hayati Dkt. Magufuli ) sasa nimeamua nitakuwa nakaa Baharini kwa Wavua Samaki Dar es Salaam kwa Siku 21 na kisha naenda Kukaa na Wakulima wa Zabibu Kijijini Dodoma kwa Siku 7 au 9 tu.

Ni imani yangu hutochukia Hayati JPM.
 
Ndio maana wenye akili wanadai katiba mpya.

Watu wanalipana perdiem kufanyia vikao Dar ili hali walipaswa kufanyia vikao hivyo Dodoma.

Mama ni mzigo kwa hii nchi na watu wake.

Hata huyo Mwendazake nae ni wale wale tu alikuwa anaishi kijijini kwake wakati katumia mabilioni kujenga Ikulu Dodoma.

CCM must go.
 
ENDELEA KUUFUKUZA UPEPO

#SiempreCCM
 
Sio mzigo ni janga sawa na corona, corona inaua watu, maza anapukutisha tozo zetu
 
Nilisikia baadhi ya watu wakisema eti Bi Mkubwa wanamwelewa, anaupiga mwingi, aendelee hivyo hivyo. Hii U-turn imesababishwa na tetemeko la Kagera au!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…